• Latest News

  Tuesday, June 10, 2014

  KUITWA KWENYE USAILI WIZARA YA MAMBO YA NDANI (IMMIGRATION)


       
  Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti  ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na  www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili yameorodheshwa. Usaili utafanyika tarehe 13 Juni, 2014, katika uwanja wa Taifa. Wasailiwa wote wafike saa moja na nusu asubuhi.
  Tangazo hili limetolewa na:
  KATIBU MKUU
  WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
  03/06/2014
  click here.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUITWA KWENYE USAILI WIZARA YA MAMBO YA NDANI (IMMIGRATION) Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top