• Latest News

  Monday, August 11, 2014

  JE! WAZIJUA AINA ZA BUSTANI?

   Na. Mathias Kavishe

  Kuna aina nyingi za bustani lakini kwa leo naona tuangalie baadhi ya bustani ambazo waeza kuwa nazo hata nyumbani kwako zikakupunguzia matumizi madogomadogo hasa ya mbogamboga pale nyumbani kwako ukiwa kama baba au mama wa familia yako maana sio kila siku utakua na uwezo wa kuidhi upatikanaji wa mbogamboga nyumbani


  BISTANI YA MIKUNDE NYUMBANI


  BUSTANI YA GUNIA
  hii yaweza wekwa hata kama mahali ni padogo na kuweza kukupa mazao ya kutosha kwa ajili ya familia yako.

  BUSTANI HEWANI/HAMISHIKA/MNING'INIO
  hii ni moja ya bustani ambayo yaweza kuwekwa sehemu yeyote nyumbani kwako ilimradi pawe na mwanga wa kutosha na pasipo na kiaribifu ,ila uzuri zai wa bustani hii waweza kuihamisha kama utaona pale ilipo inakuzingua kwa muda ule waweza panda mazao mbalimbali na kuninginiza mengine kwa pembeni

   BUSTANI JIKONI
  hii ni moja kati ya bustani nzuri sana imekaa muundo wa mlima ambayo unaweza panda mazao yako kuanzia chini mpaka juu. bustani hii ina kisehemu cha kingilia ili uweze kupita vizuri muda wa kuihudumia kama inavyoonekana kwa picha hapo juu.


  BUSTANI NYUMBANI
  vilenile waweza kua na bustani hata ya mazao ya nafaka nyumbani kwako msimu mzima unakua hukosi mahindi ya kuchoma kwako wewe unawaza kwenda kununua sukari na chumvi vingine vyote vyaweza patikana nyumbani kwako
  Endelea kua nasi kwa makala nzuri na nyingi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JE! WAZIJUA AINA ZA BUSTANI? Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top