• Latest News

  Thursday, August 7, 2014

  MAONYESHO YA NANE NANE MWANZA YATAWALIWA NA NYOKA


  Katika hali isiyo ya kawaida katika maonyesho ya nanenane mwaka huu katika kanda ya ziwa ambayo yanaendelea katika viwanja vya nyamhongolo mwanza kumekua na watu wenye ujasiri wa kucheza na nyoka wakubwa aina ya chatu.
  Wazee hao ambao wanaonekana kuwa maaarufu kwa kazi ya kufuga nyoka na kucheza nae walionekana mbele ya banda la HALMASHAURI YA MSALALA ambapo ndio waliowaleta kwenye maonyesho haya.
  Kitendo hiki kimeonyesgha kuwafurahisha wengi kwa kuwa ni watu wengi hawakuwahi kuona binadamu akicheza na nyoka LIVE sasa hapa mwanza imetokea.

  Tazama picha hizi uweze kuona vizuri ilivyokua.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAONYESHO YA NANE NANE MWANZA YATAWALIWA NA NYOKA Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top