• Latest News

  Thursday, August 21, 2014

  Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Mifugo kwa Mwaka Masomo 2014/2015

   


  http://www.mifugouvuvi.go.tz/wp-content/uploads/2014/08/images-1.jpg
  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
  WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
  TANGAZO LA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA
  WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) KWA MWAKA WA MASOMO 2014 / 2015

  Wakala wa Vyuo vya Mifugo inatangaza Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Mifugo kwa Mwaka Masomo 2014/2015. BOFYA HAPA KUONA MAJINA!
  Imetolewa na:
  Kaimu Mtendaji Mkuu
  Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo
  S.L.P 9152,
  DAR ES SALAAM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Mifugo kwa Mwaka Masomo 2014/2015 Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top