• Latest News

  Friday, September 12, 2014

  Hii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzani

  kutoka millardAyo.com

  Students 1Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.
  Mengine yote unaweza kuyasikiliza kwa kubonyeza play hapa chini….

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Hii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzani Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top