• Latest News

  Thursday, October 9, 2014

  Nchi za wenzetu hazikosi mambo…. tazama Trafiki wanaocheza wakiongoza magari


  Screen Shot 2014-10-09 at 4.55.22 PMMara nyingi tumezoea kuona askari wa usalama barabarani wakiwa kwenye kazi serious ambapo kwa Tanzania ni mmoja tu niliwahi kumuona anachangamka na kuchezacheza akiwa anaongoza magari kwenye taa za barabarani Sayansi Kijitonyama Dar es salaam.
  Unataka stori kama hizi zisikupite? unataka kuwa kupata kila kinachonifikia? karibu ujiunge na mimi kwa kubonyeza hapa kilimo na mifugo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Nchi za wenzetu hazikosi mambo…. tazama Trafiki wanaocheza wakiongoza magari Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top