• Latest News

  Monday, October 20, 2014

  TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)


  JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
  KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

  Simu ya Upepo   : "N G O M E"            Makao Makuu ya Jeshi,
  Simu ya Mdomo : DSM  22150463       Sanduku la Posta 9203,
  Telex                     : 41051                        DAR ESSALAAM, 20 Octoba, 2014
  Tele Fax                : 2153426
  Barua pepe       :ulinzimagazine@yahoo.co.uk
  Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz
                    
  Taarifa kwa Vyombo vya Habari

  Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.
            Aidha,  kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ.  Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake. 

    
  Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Mahusiano
  Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
  S.L.P  9203,   Dar es Salaam, Tanzania.


  Kwa Mawasiliano zaidi: 0783 - 309963
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top