• Latest News

  Wednesday, November 26, 2014

  Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow

  Download kipindi hapa
  Video ya hali ya juump3 (1.8 Mb)
  Mjane wa Hayati Baba wa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere, amezungumzia sakata ya ESCROW iliyozungumziwa bungeni mjini Dodoma na kupendekeza ripoti ya mgogoro huo wa IPTL kujadiliwa kwa uwazi ili kupata ufumbuzi na wahusika kuwajibishwa kwa manufaa ya umaa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top