• Latest News

  Friday, March 20, 2015

  TAARIFA ZA NAFASI ZA KAZI JIUNGE NA www.ajira.go.tz


  VYUO VINAVYOTAMBULIWA NA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA 

  Orodha ya vyuo vinavyotambuliwa Kitaaluma na Baraza la Veterinari chini ya kifungu 52 (2) f & g cha Sheria ya Veterinari CAP 319 na Kanuni zake (Training Standards for Registration, ebnrolment and enlistment; reg 4(1) 

  1. Sokoine UNiversity of Agriculture
  2. Livestock Training Agency Tengeru
  3. Livestock Training Agency Morogoro
  4. Livestock Training Agency Mpwapwa
  5. Livestock Training Agency Madaba.
  6. Livestock Training Agency Buhuri
  7. Livestock Training Agency Temeke
  8. Livestock Training Agency Mpwapwa Mbuki
  9. Visele Livestock Skills training Center
  10. Kaole Collage of Agriculture Bagamoyo


  • Vyuo vinavyotambuliwa Kitaaluma huwasilishwa NACTE na TCU (accodinly) kwa ajili ya taratibu za usajili.
  • Wahitimu wa Vyuo vilivyotambuliwa kitaaluma tu husajiliwa na Baraza la Veterinari kwa kuwa mitaala yake huhakikiwa kama inakidhi viwango vya taaluma, kama ilivyoelekeza Sheria hiyo.
  • Image result for cow
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAARIFA ZA NAFASI ZA KAZI JIUNGE NA www.ajira.go.tz Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top