• Latest News

  Friday, March 20, 2015

  WAWEKEZAJI WA BIDHAA ZA NYAMA WA KAMPUNI YA SCANDIA KUTOKA NCHI YA RUMANIA WAMEMTEMBELEA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. TITUS KAMANI AMBAYE ALIWAKUTANISHA WAWEKEZAJI HAO NA WAWEKEZAJI WA TANZANIA


  Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani ambaye amekutana na Wawekezaji Ofisini kwake Dar-es-salaam, Kutoka Rumania kushoto Andrei Ursulescu Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Scandia  Bw Micro Boattini na Rapes Popescu
   

  Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Scandia  Bw. Micro Boattini na Rapes Popescu  Wawekezaji wa Bidhaa za Nyama  kutoka Tanzania kutoka kushoto ni Bw. Nashon Kalinga wa Kampuni ya Tanzania Meat Ltd ya Dodoma, Bw. Jeremia Temu wa Bodi ya Nyama Tanzania

  Katika picha ni Wawekezaji kutoka Kampuni ya Nyama  Tanzania (NARCO) Bw. Haruna Muhomi, Bw. Mzava
   Waziri Wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt. Titus Kamani katikati akitoa Maelezo ya kuwakutanisha Wawekezaji kutoka Rumania kushoto Bw. Rapes Popescu, Bw Andrei Ursulescu kushoto kwa Waziri ni Bw. Mirco Boattini
  Akijitambulisha kwa Wawekezaji kutika Rumania (hawapo pichani) Bw. Mzava kutoka Kampuni ya Ranchi Tanzania (NARCO) 
  Kushoto Muwekezaji kutoka Mwanza Bw. John  Chobo wa Kampuni ya Chobo Investment  Co. Ltd,katikati ni Bw. Nicholas Kampa wa Kampuni ya Tandan Farm Ltd ya Dar-es-salaam

  Kushoto Bw. Nelson Kilongozi Afisa Mifugo Mkuu na Bw. Peter Kingu Mkurugenzi Msaidizi Sera
  Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Tanzania Dkt. Abdu Hyaghaimo 
  Bw. Andrei Ursulesco kutoka Kampuni ya Scandia ya Rumania akitoa maelezo kwa Wawekezaji wa Bidhaa za Nyama Tanzania
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAWEKEZAJI WA BIDHAA ZA NYAMA WA KAMPUNI YA SCANDIA KUTOKA NCHI YA RUMANIA WAMEMTEMBELEA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. TITUS KAMANI AMBAYE ALIWAKUTANISHA WAWEKEZAJI HAO NA WAWEKEZAJI WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top