• Latest News

  Sunday, July 12, 2015

  Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa July 2015.

  Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini July 2015. Aidha orodha ya watumishi 115 ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.
  Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa July 2015. Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top