• Latest News

  Monday, May 9, 2016

  SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA KAZI NYINGI ZA KUTOSHA KADA NYINGI

  Serikali yatangaza nafasi za kazi 2,748
  Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 2,748 kwa ajili ya waajiri mbalimbali Nchini.
  Nafasi hizo za kazi ambazo zinapatikana katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ni kwa ajili ya waajiri mbalimbali wa Ofisi za Umma.
  MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 15/05/2016. MAOMBI YATUMWE KWENYE WEBSITE YA WIZARA
  Kuomba Bofya HAPA na HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA KAZI NYINGI ZA KUTOSHA KADA NYINGI Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top