• Latest News

  Friday, June 24, 2016

  MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2016/17

  KUANGALIA MAJINA KWA KILA KITUO ULICHOFANYIA MTIHANI

  1. BOFIA HAPA SELECTION FORM FIVE


  Form five posts 2016/2017, Form Five Selection 2016/2017,  NECTA 2016 selection post, post form five, post form five 2016, necta selection form five 2016/2017.
  FORM FIVE
  FORM FIVE


  OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (FORM FIVESELECTION) 2015/2016 na Vyuo vya Ufundi, Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

  Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

    
  Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.

  Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano
   (FORM FIVE SELECTION)  2015/2016wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya mabadiliko yoyote ya shule. 
    
  Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

  Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano 
  (FORM FIVE SELECTION)2015/2016  na Vyuo vya Ufundi   inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
  ya www.pmoralg.go.tz
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2016/17 Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top