• Latest News

  Tuesday, July 26, 2016

  JIONEE PICHA ZA DARAJA LILIJENGWA CHINI YA BAHARI NCHINI NORWAY

  Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja ambalo sitapenda upitwe mtu wangu, unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila hili likakushangaza daraja hili litajengwa chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja ilo.

  Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba mpaka nane ingawa bado wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka 100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa safari kama za hospitali ambazo inapekelekea watu kupanda helikopta.

  Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JIONEE PICHA ZA DARAJA LILIJENGWA CHINI YA BAHARI NCHINI NORWAY Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top