• Latest News

  Friday, July 15, 2016

  MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2016 YATOKA


  FORM SIX NECTA RESULTS ARE OUT Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,

  Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.

  Shule 10 zilizofanya vizuri: 
  1.Kisimiri,
  2.Feza Boys,
  3.Alliance Girls,
  4. Feza Girls,
  5. Marian Boys, 
  6.Tabora Boys, 
  7.Kibaha, 
  8.Mzumbe
  9.Ilboru,
  10. Tandahimba

  Kuyaona bonyeza HAPA 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2016 YATOKA Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top