• Latest News

  Thursday, June 14, 2018

  FOMU ZA KUJIUNGA NA VYUO VYA KILIMO 2018/2019 ZINAPATIKANA HAPA  TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA KILIMO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019
  Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika inatangaza nafasi za mafunzo ya Kilimo ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Ili kuweza kujiunga na nafasi hizo unatakiwa kujaza fomu ya maombi na kuituma katika chuo husika baada ya kuilipia benki.

  Fomu za kujiunga, maelekezo na anuani za vyuo zinapatikana hapa chini:

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: FOMU ZA KUJIUNGA NA VYUO VYA KILIMO 2018/2019 ZINAPATIKANA HAPA Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top