• Latest News

  Friday, July 13, 2018

  MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 YATOKA

  Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde


  Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu wakiwemo wasichana 30,619 sawa na 95.92% na wavulana 42,247 sawa na 95.23%. Waliopata daraja la kwanza ni 8,168.

  Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi ni:
  1.Kibaha 2.Kisimiri 3.Kemebos 4.Mzumbe 5.Feza Boys 6.Marian Boys 7.Ahmes 8. St.Marys Mazinde Juu 9.Marian Girls 10.Feza Girls

  Shule 10 zilizofanya vibaya zaidi ni:
  1.Forest Hill, 2.Jang’ombe, 3.Jangwani, 4. St. James Kilolo, 5.White Lake, 6.Aggrey, 7.Nyailigamba, 8.Musoma Utalii, 9.Ben Bella, 10.Golden Ridge

  TAZAMA MATOKEO YOTE HAPA CHINI

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 YATOKA Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top