• Latest News

  Friday, October 5, 2018

  Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Mifugo Mwaka wa Masomo 2018/2019

  • Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza  majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kampasi za vyuo vya Mafunzo ya Mifugo mwaka wa Masomo 2018/2019

  • Wanafunzi wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti vyuoni kuanzia tarehe 08/10/2018 na mwisho wa kuripoti  ni tarehe 15/10/2018, Kwa majina waliochaguliwa na  maelezo zaidi bofya hapa
  • Fomu za kujiunga tembelea ukurasa kwenye kampasi husika kupitia tovuti hii.
  • Majina ya Wanafunzi waliomba kampasi ya Buhuri kama chaguo namba moja majina yao yatatangazwa kupitia tovuti hii.
  Next
  This is the most recent post.
  Older Post
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Mifugo Mwaka wa Masomo 2018/2019 Rating: 5 Reviewed By: Kilimo mifugo
  Scroll to Top